Leo hii katika jiji la Pretoria-South Africa wanyarwanda na watetea haki kutoka Africa wamefanya maandamano ya amani kwenye ubalozi wa Ufaransa(French Embassy) . waandamanaji wameweza kutoa ujumbe na Offier mkuu katika ubalozi wa Ufaransa amepoke madai hayo na kusema atayawakilisha kwa Balozi wake.
Hii inatokana na kwamba Ufaransa inazidi kunyanyasa Rwanda,baada ya tukio la kumkamata Rose Kabuye akiwa katika ziala ya kazi nchi Germany na kupelekwa Paris analipo pata rufaa.
France inazidi kupotosha ukweli wamambo kuhusu mchngo wao katika mauaji ya kimbali(Genocide) ya 1994. France ilishilikiana bega kwa bega na wauwaji sasa wanataka kubadilisha jina hilo kwa kuform case isiyo ya kweli dhidi ya viongozi wa Rwanda. Genocide iliandaliwa na kutekelezwa na walio ianda sio kama inavyo semwa na wafaransa kwamba chazo ni kulipuliwa kwa ndege iliyo ikimsafilisha Rais wa zamani wa Rwanda J.Habyarimana.
Na madai ya kwamba wapiganaji wa APR ndio walio dungua ndege hiyo sio ya kweli.
Blog hii inaungana na waandamanaji wote wanaotetea haki za Rwanda na Africa kupinga kukamatwa kwa Rose Kabuye na kuendelea kutoa shikizo la kuachiliwa huru Rose Kabuye.
Mungu Ibariki Africa
No comments:
Post a Comment