Sunday, April 13, 2008

Steve na Slyvia 4reva

Mr & Mrs Steven Gahamanyi katika harusi yao
Steven and mai waifu wake Slyvia wakiwa full shangwe baada ya kuachana na ukapera.

Steve & Slyvia wako juu. Harusi yao ilifanyika tarehe 29'03'2008,katika garden za Telcom House. Harusi hiyo ilikua nzuri sana,tena bwana harusi alikua full mzuka.Hakuwa kama mabwana harusi niliowahi kuona. Congs sana Steve tena mambo yalikua super kwa kwenda mbele. Tunawafagilia sana. Wish you all the best.


4 comments:

Anonymous said...

Si mchezo mpendeza kinoma,yaani hiyo couple imeenda shule.Mugire urogo Ruhire.Big Up Double S (Stevo Na Slivie)

Anonymous said...

Araje araje araberewe......yaani nawa dedicate huo wimbo wa Masamba

Anonymous said...

Hii Weeding ilikuwa kali sana yaani waswahili ndo wanasema ya KUKATA NA SHOKA| yaani kila mtu ilikuwa ni Ful kujiachia,Yaani na mimi naoa soon.

Anonymous said...

This wedding was .....what can I say, maveloues!!!
We are proud of you