Wednesday, July 9, 2008

Ay and Mwana FA congssss

Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA na Ambwene Yesayah a.k.a Ay, wakati wa tuzo za Killawards, in Tanzania, Dar es salaam. Ay na Mwana FA walisindia tuzo ya wimbo bora wa collabozzzz mwimbo huo ni Habari ndiyo hiyo.Wimbo unaotikisa kwenye Radio na Club za East Africa. Keep it up guys

No comments: