Friday, December 19, 2008

Tangazo la Msiba

Familia ya Mzee Anania Bizima inasikitika kuwatangazi ndugu,jamaa na marafiki kifo cha mwanae Lydia Yessaya,kilicho tokea usiku wa kuamkia ijumaa katika hospital ya Lugalo,Dar es Salaam.

Mazishi yatafanika kesho jumamosi katika makaburi ya Kinondoni.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.

Blog hii inaungana na familia ya marehemu wakati huu mgumu wa majonzi. Mungu azidi kuwatia nguvu.





0 comments: