Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tisa wa Leon. H. Sullivan unaotarajiwa kufanyika mwaka 2010.Tangazo hilo lililotelewa Jana usiku na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika hafla iliyoandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wageni wa Mkutano wa Nane wa Sullivan katika hotel ya Ngurdoto, nje kidogo ya Arusha.
Kagame alisema akipokea mwenge wa Mkutano wa Sullivan una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.
Baada ya kupokea mwenge huo Rais Kagame alisema Serikali yake inajivunia kuwa na fursa ya kuandaa mkutano huo kwa kuwa utatoa nafasi ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki.Alisema ingawa Rwanda ilikabiliwa na mauaji ya Kimbari, hivi sasa nchi hiyo imerejesha amani, usalama na watu wanafanyakazi kwa ushirikiano ili kujenga Taifa lenye nguvu.“Rwanda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi, kuimarisha elimu, ulinzi, usalama na uhusiano wa kijamii.
Pia tumefanikiwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi sasa tunashirikiana na wenzetu kuendeleza uchumi wa Afrika Mashariki,” alisema Kagame.Mkutano wa Kwanza wa Leon H. Sullivan ulifanyika mwaka 1991 huko Ivory Coast kwa lengo la kuimarisha uhuriano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika sanjari na kujadili mikakati ya maendeleo miongoni mwa Waafrika.

Kagame alisema akipokea mwenge wa Mkutano Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tisa wa Leon. H. Sullivan unaotarajiwa kufanyika mwaka 2010.Tangazo hilo lililotelewa Jana usiku na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika hafla iliyoandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wageni wa Mkutano wa Nane wa Sullivan katika hotel ya Ngurdoto, nje kidogo ya Arusha.
Kagame alisema akipokea mwenge wa Mkutano wa Sullivan una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.
Baada ya kupokea mwenge huo Rais Kagame alisema Serikali yake inajivunia kuwa na fursa ya kuandaa mkutano huo kwa kuwa utatoa nafasi ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki.Alisema ingawa Rwanda ilikabiliwa na mauaji ya Kimbari, hivi sasa nchi hiyo imerejesha amani, usalama na watu wanafanyakazi kwa ushirikiano ili kujenga Taifa lenye nguvu.“Rwanda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi, kuimarisha elimu, ulinzi, usalama na uhusiano wa kijamii.
Pia tumefanikiwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi sasa tunashirikiana na wenzetu kuendeleza uchumi wa Afrika Mashariki,” alisema Kagame.Mkutano wa Kwanza wa Leon H. Sullivan ulifanyika mwaka 1991 huko Ivory Coast kwa lengo la kuimarisha uhuriano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika sanjari na kujadili mikakati ya maendeleo miongoni mwa Waafrika. una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.
Baada ya kupokea mwenge huo Rais Kagame alisema Serikali yake inajivunia kuwa na fursa ya kuandaa mkutano huo kwa kuwa utatoa nafasi ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki.Alisema ingawa Rwanda ilikabiliwa na mauaji ya Kimbari, hivi sasa nchi hiyo imerejesha amani, usalama na watu wanafanyakazi kwa ushirikiano ili kujenga Taifa lenye nguvu.“Rwanda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi, kuimarisha elimu, ulinzi, usalama na uhusiano wa kijamii.
Pia tumefanikiwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi sasa tunashirikiana na wenzetu kuendeleza uchumi wa Afrika Mashariki,” alisema Kagame.Mkutano wa Kwanza wa Leon H. Sullivan ulifanyika mwaka 1991 huko Ivory Coast kwa lengo la kuimarisha uhuriano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika sanjari na kujadili mikakati ya maendeleo miongoni mwa Waafrika.
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tisa wa Leon. H. Sullivan unaotarajiwa kufanyika mwaka 2010.Tangazo hilo lililotelewa Jana usiku na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika hafla iliyoandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wageni wa Mkutano wa Nane wa Sullivan katika hotel ya Ngurdoto, nje kidogo ya Arusha.
Kagame alisema akipokea mwenge wa Mkutano wa Sullivan una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.
Baada ya kupokea mwenge huo Rais Kagame alisema Serikali yake inajivunia kuwa na fursa ya kuandaa mkutano huo kwa kuwa utatoa nafasi ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki.Alisema ingawa Rwanda ilikabiliwa na mauaji ya Kimbari, hivi sasa nchi hiyo imerejesha amani, usalama na watu wanafanyakazi kwa ushirikiano ili kujenga Taifa lenye nguvu.“Rwanda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi, kuimarisha elimu, ulinzi, usalama na uhusiano wa kijamii.
Pia tumefanikiwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi sasa tunashirikiana na wenzetu kuendeleza uchumi wa Afrika Mashariki,” alisema Kagame.Mkutano wa Kwanza wa Leon H. Sullivan ulifanyika mwaka 1991 huko Ivory Coast kwa lengo la kuimarisha uhuriano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika sanjari na kujadili mikakati ya maendeleo miongoni mwa Waafrika.
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tisa wa Leon. H. Sullivan unaotarajiwa kufanyika mwaka 2010.Tangazo hilo lililotelewa Jana usiku na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika hafla iliyoandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wageni wa Mkutano wa Nane wa Sullivan katika hotel ya Ngurdoto, nje kidogo ya Arusha.
Kagame alisema akipokea mwenge Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tisa wa Leon. H. Sullivan unaotarajiwa kufanyika mwaka 2010.Tangazo hilo lililotelewa Jana usiku na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika hafla iliyoandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wageni wa Mkutano wa Nane wa Sullivan katika hotel ya Ngurdoto, nje kidogo ya Arusha.
Kagame alisema akipokea mwenge wa Mkutano wa Sullivan una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.
Baada ya kupokea mwenge huo Rais Kagame alisema Serikali yake inajivunia kuwa na fursa ya kuandaa mkutano huo kwa kuwa utatoa nafasi ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki.Alisema ingawa Rwanda ilikabiliwa na mauaji ya Kimbari, hivi sasa nchi hiyo imerejesha amani, usalama na watu wanafanyakazi kwa ushirikiano ili kujenga Taifa lenye nguvu.“Rwanda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi, kuimarisha elimu, ulinzi, usalama na uhusiano wa kijamii.
Pia tumefanikiwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi sasa tunashirikiana na wenzetu kuendeleza uchumi wa Afrika Mashariki,” alisema Kagame.Mkutano wa Kwanza wa Leon H. Sullivan ulifanyika mwaka 1991 huko Ivory Coast kwa lengo la kuimarisha uhuriano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika sanjari na kujadili mikakati ya maendeleo miongoni mwa Waafrika.una manufaa makubwa katika kujenga uhusiano kati ya Waafrika na Wamarekani wenye asili ya Afrika.Pia kuimarisha miundombinu, uwekezaji na utalii katika bara la Afrika.Baada ya kusema hayo Rais Jakaya Kikwete alimkabidhi Kagame Mwenge wa Leon H. Sullivan na kumwambia; “sasa mwenge ni wako.”Mwenge huo ulipokewa na Rais Kikwete wakati wa mkutano wa Saba wa Sullivan, uliofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2006.

No comments:
Post a Comment