
Mzee wa Dakika 90 alikuwepo pia

Lts team wakiwa uwanjani


Dadazz wakiwa wanacheza soccer

Waiting for next round

Hata watoto walihudhulia

Hapo vipi kwa stlye ya mibear(miguu)

Hii ndiyo team ya Soccer iliyo shinda kwenye mashindano hayo

Side nyingine ya uwanja Rugby ilikua inaendelea kwa kasi

Wafanz na wachezaji

Wachezaji wa Rugby wakiwa uwanjani

Fans

Football kwa upande wa kakazz


Volleyball iliwakilisha katika Spring Day

Spring day ili pambwa na aina za music tofauti kama hapa ni vijana wa kundi moja la hapa jiji Pretoria wakicheza Rock

Mokwepa and Moses
No comments:
Post a Comment