
King Mswati wa tatu akiingia uwanjani siku ya bezdai yake ya myaka 40 na miaka 40 ya uhuru wa nchi yake

King Mswati wa tatu akikagua gwaride mjini mbabane.Swaziland

Marais kibao walihuzulia. Simba wa Africa Mugabe naye alikuwepo,na Afande wa Africa Kagame haku miss hiyo bezdai.

Jk na M7, walihudhulia libeneke hilo. mjini Mbabane. Swaziland
No comments:
Post a Comment