Saturday, October 4, 2008

Contestant of East Africa Model Search from Kigali

Washindi na watakao wakilisha Rwanda katika mashindano ya Ea model search Dar es salaam mwezi ujao. toka kushoto,Ninnete Hezagira,Nadege,Noela na Ninnete (aliye kaa chini)
Contestants wa EA Model Search wakiwa wanasikiliza majaji . Kabla ya mchujo kuanza.




Majaji na wa EA Model Search, Kigali katika pozi, Cythia(Katikati) na Agent wa Ea model search Rwanda Tumaini(kulia)



Tumaini(Agent wa EA Model Search Kigali) na Jaji Cyntia wakiwa katika pozi na walibwende




Meza ya majaji wakisikiliza miss noela





Designer wa EA Model Search Kigali akiwa katika pozi na washindi.
East Africa Model Search final will take place in Dar es Salaam in Tanzania next month. EA model search is looking new models from East African countries,Which are,Tanzania,Kenya,Uganda,Rwanda and Burundi.
























1 comment:

Anastácio Soberbo said...

Hello, I like this blog.
Sorry not write more, but my English is not good.
A hug from Portugal