Thursday, October 9, 2008

Jose Chameleone avunjika miguu,Arusha,TZ

Msaani mahili wa Uganda Jose Chameleone week iliyo pita alivunjika miguu yote miwili baada ya kuruka kutoka ghorofa ya 3. Katika Hotel ya Impara iliyopoa Arusha.
Chameleone mbaye alikua Arusha kwa ajili ya Show kadha.

Inasemekana kwamba alikua anaota akitembea ndipo mkasa huo ulipo mtokea(Sleeping walking)

Inasemkana kwamba anaendelea na matibabu huko Uganda,Kampala.

Blog hii inampa pole na kumtakia quick recovering

No comments: