Monday, October 13, 2008

Lutheran Church in Rwanda have got new Dean

Dean mpya wa Lutheran Church in Rwanda asimikwa rasmi. Bishop George Wilson Kalisa na Dean Celestin Salambuye wakiwa katika Ibada ya kumsimika Dean Selestin Seburikoko katika kanisa la LRC Kigali.
Hapa nikatika harakati za kumvika casible dean mpya

Dean katika casible yake ya udean na wachungaji wengine kwakisadiana na bishop na dean mstaafu.Rev.Habyakare na Rev.David wakiwa wamesimama kwa nyuma na Rev.Mugabo akiwa ana weka sawa casible ya Dean Seburikoko.


Bishop Kalisa akitoa baraka kwa Dean Seburikoko.Katika ibada hiyo

Mungu azidi kuwatia nguvu ya kulitumikia kanisa lake kwa moyo wote.
Blog ya ze proudlyzz inamtakia dean mpya kazi njema na Mungu azidi kuwa naye katika kazi yake ya kueneza Injili.
Tunamshukuru mdau aliye tuma picha hizi kutoka Kigali.






No comments: