Thursday, October 9, 2008

Mambo yanazidi kuwa mabaya katika siasa ya hapa Bondeni

Kgalema Motlanthe is the interim president of South Africa after President Thabo Mbeki was forced to resign.
Former President Thabo Mbeki and ANC President Jacob Zuma

Jacob Zuma is good in singing and dance.
Hapa South Africa(Bondeni) mambo yanazidi kupamba moto baada ya Rais Thabo Mbeki kuresign. Katika chama tawala cha ANC sasa kuna makundi mawili ambayo yaweza kusababisha mgawanyiko siku zijazo kama hakutakua na solution ya matatizo waliyo nayo.Tangu rais Mbeki aondoke madarakani wafuafisi wake nao pia wanaendelia kuachia ngazi katika vyeo mbali mbali hiyo ni dalili ya kumomonyokoa kwa chama. Hapa tunavyo andika hii habari kuna habari zinazo sema kwamba kuna mpango wakuunda chama kingine. Mzee Mandela yeye uzee umemkabili sidhani kama anajua kinacho endelea outside.Habari ndiyo hiyo


2 comments:

Anonymous said...

Ndakeka ko Zuma yigeze kubaho mayibobo iyo mbyino irimo ububobo...

Anonymous said...

Mazeeee...nasikia harufu ya Mbeki..Nasikia harufu ya kusambaratika..Hi track hii ya Hamy B