Sunday, October 5, 2008

Mamiss wa Kigali wakipata lunch

Mamiss baada ya mchujo wa kusaka wawakilishi wa Rwanda katika EA model search walipata lunch ya pamoja.
mambo ya msosizzz wa Alpha Palace Hotel,juzi wakati wa kusaka ma models wa Kigali.

1 comment:

Anonymous said...

Hii mida ya kuchekelea,yaani hata ambaye si muongeaji hapa razima aseme au atabasamu?manasemaje wadau?