
Rais Bush kiwa anachungulia baada ya kukwepa viatu viwili Iraq

Waziri Mkuu wa Iraq akikinga mkono kumnusuru Bush kiatu cha pili

Mwandishi wa Muntazer al-Zaidi Tv binafsi yaal-Baghdadiya akiachia kombora la kiatu kuelekea kwa Rais Bush

Bush akikwepa kiatu cha kwanza

Pokea kwanza kiatu

Kabla ya mwandishi kuanza mashambulizi dhidi ya Rais Bush
Hii iwe fundisho kwa maprezo wengine kwamba wajue silaha zipo aina nyingi tu inaweza kuwa rahisi kuwagandamiza vibaya sana!!!!
No comments:
Post a Comment