Shaggy akiwarusha wa bongo ndani ya viwanja vya Leaders Club
Shaggy akiwa stageni na mshikajia wake Revon
Shaggy hapa sijui alikua akiongea kiswazzzz??Lazima coz siku hizi ni mbongo full
Prof.Jay aliwakilisha pia
Chidi Benz alikuwepo. Pia na wasanii wengi waliwakilisha sana usiku huo wa ijumaa.
Mashabiki kama mnavyo ona hapa ilikua full
Stageni
Ilikua bonge la show kadadeki.
No comments:
Post a Comment