Wakali wa Clouds Fm, Dj Fetty na B12(Mzee wa XXL)wakiwa na Mzee myenyewe Shaggy kwenye Party
Shaggy hakukamua peke yake usiku huo!Wakali wa bongo waliwakilisha pia hapa ni Mwana Fa na Ay wakitoa misitali.Kempiski hotel
Shaggy akitoa mistali kabla ya kuwasha moto ili watu wambanjukeee
Watu wa clouds fm poa sana kwa kazi zenu nina wakubari.Bro PJ,Bro B12
Prof. Jay naye alikuwepo
Ruge akiongea na Ay kwenye Party hiyo na Mwana Fa akiwa nyuma yao na washikaiji wengine.
Ilikua mzuka
No comments:
Post a Comment