John Legend akisalimiana na Shaggy kwenye Hotel ya Kilimanjaro Kempinski leo jioni. John Legend ambaye yuko Dar es salaam kwa mapumziko(kimya kimya)Ila naona ma paparazi wamtambua leo. Shaggy anatalajia kuwa kupiga show ya nguvu kesho jijini Dar es salaam.
Picha kwa hisani ya www.Michuzi-blog.com
No comments:
Post a Comment