Miss Tanzania 2008, Nasreem Karim
Miss tz 2008, Nasreem Karim Bro Michuzi akipozi na Miss tz 2008 Nasreem
Miss tz 2007 Richa akipozi na mrithi wake Miss tz 2008 Nasreem.
Miss tz 2008, Nasreem Karim, ni miss kutoka kanda ya ziwa.Mwaka huu nadhani kumekuwepo mabadiliko makubwa baada ya muda mrefu mamiss wakitokea katika jiji la Bongo. Miss Nasreem tunakutakia maandalizi mema na mafanikio katika Miss World 2008.
No comments:
Post a Comment