Tuesday, October 14, 2008

Microsoft Bus


Hii nimeikuta katika blog ya brother Michuzi nikaona nijambo ha heri kuwashilikisha hapa ta nyinyi wadau wa ze proudly kuona hii bus yenye mtindo mpya. Kwa mtindo huu hakuna cha kukodi ofisi au kununua staffvan za wafanyakazi. Ni kununa bus hii then kila kitu kitakua kina fanyika kwenye hiyo bus.
Picha kwa hisani ya www.issamichuzi.blogspot.com

No comments: