






Hii ni kati picha zinazo onyesha Mwalimu(katikati ameva short)na wana TANU.

Mwalimu akionyesha wa kwamba sasa Tanganyika iko full Independent

Mwalimu Nyerere akiwa na mzee Mandela. Hawa wazee nina wakubari sana kwa kazi walizo zifanya katika Africa ila nina sikitika sana kuona walithi wao niwagumu kuendeleza mawazo mazuri ya wazee hawa.

Mwalimu Nyerere akiwa na Rais Kennedy wa USA
Hizi picha nimezileta kwenu wadau ili tuweze kukumbuka Mwalimu wetu mpendwa Baba wa Taifa la Tanzania na Africa nzima kwa hekima aliyo kwa nayo katika uongozi wake.
Leo tunakumbuka miaka 9,Mwalimu kutuacha katika majonzi makubwa.
Nawaomba wapenzi wa blog ya Ze proudly kuzidi kuenzi Mwalimu Nyerere.
No comments:
Post a Comment