Sunday, October 12, 2008

Wadau wa Kabeza wamenitumia hii

Hapa napata picha ya mapatano kati ya PNU na ODM

Hapa inaonyesha kwamba Tanzania walichangia sana katika mapatano ya PNU na ODM.
Wadau mnasemaji hapo?

4 comments:

Anonymous said...

Kibaki,Kikwete na Laira...

Anonymous said...

Kibaki kaweka dread Locks??

Anonymous said...

huyo mzee mwenyewe kikwete mrisho kharifan jakaya...mchizi...amepatanisha kweli kweli...ahaa..hii kali mtu wangu

Anonymous said...

uuhh..hii sinaonyesha kenya cku moja itageuka kuwa tz mbona sura ya kenya hiyo hiyo imeenda mpaka ikawa bendela ya tanzania twambieni wadau