Sunday, November 9, 2008

Models waEast Africa model Search watambulishwa rasmi Dar.

From(r)Judy Felician ambaye ni mratibu mkuu,Bona Kaluwa mkurugenzi wa mchuano huo,George Kavishe Meneja wa kilaji cha Redds akiwatambulisha ma models katika hoteli ya Southern Sun(zamani Holiday Inn) na Celine Njunju ambaye ni afisa habari wa Zain.Zain ndio wadhamini wakubwa wa mchuano huo
Models wakipozi

Models from Rwanda,Kenya,Uganda,Burundi na Tanzania wenyeji


No comments: